(Kiitikio) Baada ya dhambi nilizozifanya Mungu kanikumbuka kanipa uzima Kwa ukweli sistahili upendo wa Mungu Mimi ni nani unitendea maajabu.(Mstari wa 1) Naona aibu mbele zako Bwana Sababu haya umetenda mimi sisistahili Naona aibu mbele zako Bwana Sababu haya umetenda mimi sistahili.
(Mstari wa 2) Mimi ni nani? Sistahili Alinitoa nyuma nyuma akanifikisha hapa Watu kama sisi Hatustahili Alinitoa nyuma nyuma akanifikisha hapa(Bridge) Alafu mimi ni nani? Mimi ni nani? Mungu kanikumbuka kanipa uzima Nimefanya nini? Nimefanya nini? Mungu kanikumbuka kanipa uzima
(Outro) Nimemupa Mungu nini? Nimemupa nini? Mungu kanikumbuka kanipa uzima Watu kama sisi Hatustahili Alinitoa nyuma nyuma akanifikisha hapa Mimi ni nani? Mimi ni nani? Mungu kanikumbuka kanipa uzima Nimefanya nini? Nimefanya nini? Mungu kanikumbuka kanipa uzima Nimempa nini? Nimemupa nini? Mungu kanikumbuka kanipa uzima Watu kama sisi Hatustahili Alinitoa nyuma nyuma akanifikisha hapa

0 Comments